Msaada wa Kubadili Shule Kidato cha Tano

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
397
Salaam! Ni binti amepangiwa kuripoti Kondoa girls, Na mimi nahitaji akasome Tabora girls, Kwa mwenye kujua process tafadhali nisaidieni......
 
Nenda ofisi za mkoani idara ya elimu mkoa aliopangiwa ukifika uandike barua wewe kama mzazi unataka umuhamishe mtoto wako kwenda tabora uweke na sababu ya kufanya hivyo,
Barua yako Wala haiendi popote na wala haina maana sema tu itatumika kutoa maelezo ya wao kukuandikia barua ya uhamisho.

Watakuandikia barua ya uhamisho utaenda nayo Tabora mokani ukifika watampangia shule unayotaka(watakuanfikia barua ya kumpangia Tabora Girls) mtoto ataripoti ila uhamisho utakuwa Bado haujakamilika,
Uhamisho utakamilika badae baada ya wanafunzi kuripoti wote ndo prems namba zao zitatoka iyo namba utafanya mawasiliano na mkuu wa shule alikopangiwa awali(prems namba yake itatokea huko) airuhusu iondoke halafu aitume shule anayohania wai add hapo ndo uhamisho utakuwa umekamilika.
 
Samahani, hapa huna haja ya kwenda TAMISEMI????
 
Tabora girls ni special school, sasa atahamiaje mwanafunzi kutoka shule isiyo special? Na labda km mwanafunzi ana ulemavu, au tatizo maalamu ndo anaweza pewa kipaumbelee, vinginevyo hakuna hiyo kitu, mwanafunzi wa kuhamia Tabora girls anatakiwa kutoka shule hizi, Msalato na kilakala.

Huyo binti yako wa kondoa Girls km hana tatizo au ulemavu hawezi pokelewa pale Tabora Girls, mtafutie shule zingne zinazoendana status na kondoa girls. Km hutaki asome hapo kondoa.
 
Tamisemi kufanya Nini? Mwalimu kuhama ndo atafika huko mwanafunzi anaishia kwa katibu tawala mkoa kama anahama mikoa tofauti.

Hayo maelekezo nlokupa ndo kinachotakiwa kufanyika.
Umenielewa vibaya, mimi pia nahitaji kumuhamisha mwanangu. Kwa mtazamo wangu nilijua TAMISEMI wao ndiyo waliomchagulia shule ya kusoma basi kabla ya kuripoti naona bado wana nafasi yao!!!!! Au???

Ikumbukwe hapa siyo uhamisho wa kawaida yaani tayari mtoto amesharipoti.Hapa mtoto hajaripoti.TAMISEMI AU KATIBU TAWALA (RAS) nani ameshika mpini????

Nb: Ni suala la kuelekezana na kupeana muongozo!!!!!!!!!
 
Uhamisho huo ni wa kawaida nani aliyekuambia sio wa kawaida.
Maelekezo niliyokupa yanajitosheleza, Sasa ukienda tamisemi utaenda kufanya Nini? Hata kama wao ndo wametoa hizo post ila kwenye kuhama uhamisho unafanyika mkoani.
 
Samahani, hapa huna haja ya kwenda TAMISEMI????
Nenda ofisi ya Afisa Elimu wa mkoa uliopo siyo Tamisemi. Kwa mkoa wa Dar es salaam nilisikia wanaotaka kubadilisha shule na combination waende Ofisi ya Mkoa kuonana na Afisa Elimu tarehe 26/06/2023.
 
Uhamisho huo ni wa kawaida nani aliyekuambia sio wa kawaida.
Maelekezo niliyokupa yanajitosheleza, Sasa ukienda tamisemi utaenda kufanya Nini? Hata kama wao ndo wametoa hizo post ila kwenye kuhama uhamisho unafanyika mkoani.
Nenda ofisi ya Afisa Elimu wa mkoa uliopo siyo Tamisemi. Kwa mkoa wa Dar es salaam nilisikia wanaotaka kubadilisha shule na combination waende Ofisi ya Mkoa kuonana na Afisa Elimu tarehe 26/06/2023.
Asante sana mkuu
 
Nenda ofisi za mkoani idara ya elimu mkoa aliopangiwa ukifika uandike barua wewe kama mzazi unataka umuhamishe mtoto wako kwenda tabora uweke na sababu ya kufanya hivyo,
Barua yako Wala haiendi popote na wala haina maana sema tu itatumika kutoa maelezo ya wao kukuandikia barua ya uhamisho.

Watakuandikia barua ya uhamisho utaenda nayo Tabora mokani ukifika watampangia shule unayotaka(watakuanfikia barua ya kumpangia Tabora Girls) mtoto ataripoti ila uhamisho utakuwa Bado haujakamilika,
Uhamisho utakamilika badae baada ya wanafunzi kuripoti wote ndo prems namba zao zitatoka iyo namba utafanya mawasiliano na mkuu wa shule alikopangiwa awali(prems namba yake itatokea huko) airuhusu iondoke halafu aitume shule anayohania wai add hapo ndo uhamisho utakuwa umekamilika.
Asante sana
 
Salaam! Ni binti amepangiwa kuripoti Kondoa girls, Na mimi nahitaji akasome Tabora girls, Kwa mwenye kujua process tafadhali nisaidieni......
Akaripoti kwanza shule aliyopangiwa huko ndiko Kuna access na mfumo wa uhamisho siku hizi ni online
 
Nani alikupa hayo maelekezo? Huko unakomwambia aende wala hawahamishi wanachofanya wao ni hatuna ya mwisho kurusu prems namba isepe baada ya kuwa imeshapata nafasi(mwanafunzi ameshahama).
 
Hapo sikufichi mkuu lazima utembeze rushwa,isitoshe mwanao kapangiwa huko Kondoa kutokana na maksi zake.
 
Nenda ofisi za mkoani idara ya elimu mkoa aliopangiwa ukifika uandike barua wewe kama mzazi unataka umuhamishe mtoto wako kwenda tabora uweke na sababu ya kufanya hivyo,
Barua yako Wala haiendi popote na wala haina maana sema tu itatumika kutoa maelezo ya wao kukuandikia barua ya uhamisho.

Watakuandikia barua ya uhamisho utaenda nayo Tabora mokani ukifika watampangia shule unayotaka(watakuanfikia barua ya kumpangia Tabora Girls) mtoto ataripoti ila uhamisho utakuwa Bado haujakamilika,
Uhamisho utakamilika badae baada ya wanafunzi kuripoti wote ndo prems namba zao zitatoka iyo namba utafanya mawasiliano na mkuu wa shule alikopangiwa awali(prems namba yake itatokea huko) airuhusu iondoke halafu aitume shule anayohania wai add hapo ndo uhamisho utakuwa umekamilika.
𝚂𝚒𝚢𝚘 𝚛𝚊𝚑𝚒𝚜𝚒 𝚑𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚜𝚑𝚞𝚕𝚎 𝚣𝚒𝚖𝚎𝚙𝚊𝚗𝚐𝚒𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚏𝚞𝚗𝚣𝚒 𝚠𝚎𝚗𝚐𝚒 𝚔𝚞𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚞𝚠𝚎𝚣𝚘 𝚠𝚊 𝚜𝚑𝚞𝚕𝚎 ,𝚗𝚒 𝚗𝚐𝚞𝚖𝚞 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚞𝚗𝚊𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚒𝚠𝚎 𝚗𝚊 𝚗𝚊𝚏𝚊𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚜𝚑𝚞𝚕𝚎 𝚑𝚒𝚢𝚘.
𝙽𝚓𝚒𝚊 𝚗𝚢𝚎𝚙𝚎𝚜𝚒 𝚗𝚒 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚔𝚞𝚞 𝚠𝚊 𝚜𝚑𝚞𝚕𝚎 𝚢𝚊 𝚝𝚊𝚋𝚘𝚛𝚊 𝚒𝚕𝚒 𝚔𝚞𝚙𝚊𝚝𝚊 𝚗𝚊𝚏𝚊𝚜𝚒 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚒𝚝𝚊𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚛𝚊𝚑𝚒𝚜𝚒
 
Hapo sikufichi mkuu lazima utembeze rushwa,isitoshe mwanao kapangiwa huko Kondoa kutokana na maksi zake.
Hawezi kupokelewa Tabora girls, hata Atoe rushwa kias gan, sio kwa mnyaki yulee, yule mama anasimamia welediii.
 
Back
Top Bottom