Isaac Mnyagi
Senior Member
- Dec 25, 2012
- 124
- 136
Wakuu Laptop yangu ina nafasi ndogo sana hasa ukizingatia specs zake inatakiwa iwe na angalau disk ya 320
Aina ya Laptop ni HP Pavilion g6 series Notebook
Processor ni Intel (R) core (TM) i5 - 2430M CPU @ 2.4GHZ 2.4 GHz
Ram ni 4 GB
Operating system ni 64 Bit
Lakini iko slow na nina mashaka kuna nafasi iliyojifija ambayo sijaigundua kwa maana
Ukubwa kamili Nafasi iliyotumika nafasi iliyobaki
C ina 75.9 GB 67.3 GB 8.61 GB
E ina 19.3 GB 9.94 GB 9.43 GB
D ina 1.99 GB 10.3 MB 1.8 GB
Hii D imepewa jina la HP TOOLS ambapo kama ukijumlisha space zote ni kama GB 100 tu je wadau hili ni sawa?
Na kama siyo sawa naombeni maelekezo ili mnisaidie wajameni maana niliinunua hii laptop kwa mtu ambaye na yeye uelewa wake ni mdogo kwenye mambo haya. maana nahisi kama kuna nafasi aya hard disk ambayo sijaigundua na sijui imejificha sehemu gani.