Habari zenu, nakumbana na tatizo la kulog-in kila nikitumia Jamii Forum App lakini nimekuja kugundua kuwa sijapokea password kwasababu wakati wa kufanya registration nilikosea kuandika e-mail itakayo nifanya niipate password na kila nikijaribu kuibadili ile email niliyoikosea inaandika kuwa siwezi kubadili kwasababu account yangu haina password. Naombeni msaada wenu.