MSAADA WA KUAPPLY ONLINE UNDERGRADUATE DEGREE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,971
Reaction score
104,369
Nisaidieni naanzaje kuomba vyuo. Naona TCU hakuna link kama zamani na dogo hajafanya application! Au tunaomba kutokea vyuoni? Vyuo unavipataje
 
Ni vyuoni moja kwa moja mkuu kama walivyoeleza wadau hapo juu. Ila kwa upande wa UDOM bado kuna changamoto kidogo kwenye upande wa malipo (wanachelewa kuyatambua malipo na huvyo kukuchelewesha kuendelea na hatua za mbele za maombi baada ya hatua ya malipo)

UDSM hawahitaji kiambatanisho (attachment) chochote, UDOM wanataka cheti cha kuzaliwa, SUA hawataki kiambatanisho chochote (isipokuwa kama mtahiniwa alirudia mtihani wa form four mara mbili au zaidi), Muhimbili wanataka cheti cha kuzaliwa, cha kidato cha nne na kidato cha sita (if any).
Gharama za kutuma maombi kwa vyuo vya serikali ni elfu kumi na zinalipwa kwa njia ya benki au mitandao ya simu hasa M-Pesa na Tigo Pesa (maelekezo ya namna kulipa yanatolewa hukohuko kwenye hizo "admission portals").

Kwa kuanzia hayo ndio ya msingi.
 
asante sana tena sana. Huyu dogo ana PCB = D D C nimfanyeje kwa SUA, UDSM. Kozi za afya haziwezekani maana C ya chemistry imeharibu kila kitu.
 
Nilikukataza kuleta sredi kama hizi husikii
 
asante sana tena sana. Huyu dogo ana PCB = D D C nimfanyeje kwa SUA, UDSM. Kozi za afya haziwezekani maana C ya chemistry imeharibu kila kitu.

SUA;
Food science and technology.
Bsc. Agronomy.
Bsc. Animal science au Veterinary medicine - (kama ana interest na mifugo na pia kama mna malengo ya kutengeneza pesa kupitia sekta ya mifugo na mazao yake hapo baadae).
Hali kadhalika horticulture na aquaculture.
UDSM:
Food science and technology (huku ni kozi ya miaka minne)
Bsc. in Chemistry (karibia kila kiwanda kinahitaji mkemia kwa nyakati hizi, ila kuhusu kujiajiri hapa ni kizungumkuti kidogo).
Pia kuna Microbiology, aquatic science and fisheries, beekeeping and technology, molecular biology, naona unaweza ukachagua hapo mkuu.

NB: Kusema ukweli kwa hali na mazingira ya sasa, hakuna kozi ambayo ni "hot cake", ni nyakati ambazo ubora wa kozi kwa kiwango kikubwa utaamriwa na ubora wa msomaji na sio ubora wa msomaji kuamriwa na ubora wa kozi.
 
Ni vyuoni moja kwa moja mkuu kama walivyoeleza wadau hapo juu. Ila kwa upande wa UDOM bado kuna changamoto kidogo kwenye upande wa malipo (wanachelewa kuyatambua malipo na huvyo kukuchelewesha kuendelea na hatua za mbele za maombi baada ya hatua ya malipo)

UDSM hawahitaji kiambatanisho (attachment) chochote, UDOM wanataka cheti cha kuzaliwa, SUA hawataki kiambatanisho chochote (isipokuwa kama mtahiniwa alirudia mtihani wa form four mara mbili au zaidi), Muhimbili wanataka cheti cha kuzaliwa, cha kidato cha nne na kidato cha sita (if any).
Gharama za kutuma maombi kwa vyuo vya serikali ni elfu kumi na zinalipwa kwa njia ya benki au mitandao ya simu hasa M-Pesa na Tigo Pesa (maelekezo ya namna kulipa yanatolewa hukohuko kwenye hizo "admission portals").

Kwa kuanzia hayo ndio ya msingi.
BRAZA NIPE TARATIBU ZA KU-APPLY SUA MAANA NIMEISHIA NJIA KWENYE KU-LOGIN
 
Umesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.

Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
 
yes nime-register password walizonipa niziweka wanaandika invailed username and password
 
Umesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.

Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
kumbikimbu namba wanatuma pamoja na sms ya username and password au n vp ?
 
Umesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.

Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
sorry mkuu iyo namba yao ya malipo ipo wapi
 
Back
Top Bottom