Naomba msaada niendelee vipi? Nimeshafanya registration NACTE sasa katika kuendelea na step ya pili kuna sehemu inaitaji ujaze taarifa za o level na ukimaliza inakuja option ya kujaza information za vyuo vya veta na uapload certificates za veta.. hapo kwenye information za veta ndo nakwama sababu sijasoma veta na hakuna optional ya kuskip ili kuendeleea na hatua zingine..
Naomba msaada wenu coz najaribu kuwapigia TCU na NACTE lakini simu zao hazipokelewi na pia nimewatumia e-mail lakini hawajajibu?
Naomba msaada wenu coz najaribu kuwapigia TCU na NACTE lakini simu zao hazipokelewi na pia nimewatumia e-mail lakini hawajajibu?