Msaada wa kuaply upya NACTE

Alexander McQueen

Senior Member
Aug 30, 2016
186
41
Ndugu ikiwa mtu aliomba ualimu s/msingi kupitia nacte akachaguliwa lakini akashindwa kuripoti lakini anataka kuaply upya mwaka huu afanyeje?
 
Ingia kwenye system omba kama kuna tatizo utaanzia hapo. Sidhani kama watatumia data ya mwaka wa jana kwani mfumo wa udahili umebadilika mwaka huu. Jaribu mapema ili kama kuna tatizo ulielewe mapema!!!!
 
OMBA TU MKUU KAMA WANASHINDWA KUWEKA KUMBUKUMBU ZA MCHEZAJI MWENYE KADI ZA NJANO,WATAWEZA KWELI KUKUMBUKA APPLICATIONS KIBAO ZA MWAKA JANA???!!!
Duh.. mkuu umenifurahisha sana
anyway.. huyo aombe tu huu ni mwaka mwngine wa masomo
 
Ingia kwenye system omba kama kuna tatizo utaanzia hapo. Sidhani kama watatumia data ya mwaka wa jana kwani mfumo wa udahili umebadilika mwaka huu. Jaribu mapema ili kama kuna tatizo ulielewe mapema!!!!
Asante sanaa
 
Back
Top Bottom