Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya ninayotaka kufanya
1.kwa mil 12.niagize gari Vitz direct toka japan je itatosha mpaka gari inaingia barabarani I mean zile gharama zote za bandarini,bima, service je hyo mil 12 itatosha kabisa?? Ama
2.ninunue IST hapa bongo iliyo kwenye hali nzuri kwa mil 11.?Natanguliza shukrani zangu naombeni msaada wa mawazo yenu.
Asante kwa mawazo mazuri naipenda sana honda fit ni vile tu uoga wa gharama.Nasikia spear zake ziko juu kidogo compared to toyota?Agiz Honda fit 2008 11m mpaka mkononi
Asante kwa mawazo mazuri naipenda sana honda fit ni vile tu uoga wa gharama.Nasikia spear zake ziko juu kidogo compared to toyota?
Asante kwa mawazo mazuriHonda Ft au Mazida Demio , ni gari economical na pia bei zake ni reasonable
Shukrani ndugu.Congo hapo Handa Fit ndo IST
Hizi gari ndogo huna cha kuogopa,bei ni zilezile shida mafundi
Iko vizuri asante nduguAgiza Suzuki Swift Japan
View attachment 2604438
Asante kwa ushauri mkuumkuu unafikiria vit kwahiyo hela mbona inatosha ushuri wenyenyewe mil 5 ww agiza tu
Bro sorry masega ndio kitu Gani? Naweza kuwa mteja wako ...Njoo nkuuzie IST yangu ninatumia mwenyew nipo ilala gari Iko pouwa sema niliibiwa masega
Masega bana ni unga unga unakuwa kwenye bomba la Eggsoziti kama sijakosea kuitaja Sasa mafundi Huwa wanakata ki mtungi kule chini wanayaiba. Nasikia wanayatumia kuyavuta kama unga ni mbadala wa cocaine.Sasa hivi gari zingine unaagiza zinatoka Japan imeshaibiwa hayo masega ni wizi upo nchi zote Kwa Sasa.Bro sorry masega ndio kitu Gani? Naweza kuwa mteja wako ...