Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Hello naomben nipate maujuz ya kuactivate IDM kwenye PC bila kuilipia au kama kuna application nyingne za kuongeza speed ya kudownload file na videos kwenye pc ukiachana na IDM naombeni pia.
Xtreme download manager iko vizuri sana aisee kwa mtu anaetaka ya bureUnatakiwa udownload setup na crack pamoja,
![]()
Internet Download Manager (IDM) 6.42 Build 40 Full
Internet Download Manager (IDM) speeds up downloads 5x with resume and error recovery. Perfect for fast, reliable downloads. Download nowkaranpc.com
Alternative za Bure
-free download manager
-eagleget
-xtreme download manager
Kuna kipindi nilikuwa natafuta alternative ya idm, downloader ambayo ina download video yoyote toka site yoyote hii ndio ilikidhi mahitaji yangu.Xtreme download manager iko vizuri sana aisee kwa mtu anaetaka ya bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliigundua nilivyokuwa natafuta IDM alternative kwenye Linux na macOSKuna kipindi nilikuwa natafuta alternative ya idm, downloader ambayo ina download video yoyote toka site yoyote hii ndio ilikidhi mahitaji yangu.
Kaka bando lenyewe tu n shida kakaMi nashauri ungelipia tu hizo licence ili ku support kazi ya developer na sio kutumia cracks ambazo ni illegal
Tumia xtreme download manager tu. Hzi crack nazo ni wizi tu. Developers wengine ndio wanategemea chakula hapo sababu ana team ndogo au ni one man show. Crack tumia za akina MS Office na Adobe huko maana ni macompany makubwa yenye hela za kumwaga.Kaka bando lenyewe tu n shida kaka
sasa nikishadownload nafanyaje ili ni activateUnatakiwa udownload setup na crack pamoja,
![]()
Internet Download Manager (IDM) 6.42 Build 40 Full
Internet Download Manager (IDM) speeds up downloads 5x with resume and error recovery. Perfect for fast, reliable downloads. Download nowkaranpc.com
Alternative za Bure
-free download manager
-eagleget
-xtreme download manager
asante sana kiongozi n nzur nayo nimeipendaTumia xtreme download manager tu. Hzi crack nazo ni wizi tu. Developers wengine ndio wanategemea chakula hapo sababu ana team ndogo au ni one man show. Crack tumia za akina MS Office na Adobe huko maana ni macompany makubwa yenye hela za kumwaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
hio ni setup na activator pamoja, ukidownload unakuta file la readme, lisome kisha fuata maelekezo.sasa nikishadownload nafanyaje ili ni activate
Free version haina kikomo?Xtreme download manager iko vizuri sana aisee kwa mtu anaetaka ya bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna zinazotumika katika MAC maana hii aikubali
Mkuu kuna zinazotumika katika MAC maana hii aikubali