Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,686
- 1,758
- Thread starter
- #21
Are you serious?? 40k????????? Hapana boss... SijiiNa unlock kwa tsh 40k tuuuu nakurudishia pesa yako yote ikishindikana au usipo ridhika na huduma njooo dm

Kwan simu yako bado haijafanyiwa network unlock? Huwa ni shiling elfu8-10kAre you serious?? 40k????????? Hapana boss... Sijii
4K ndo kiasi gani?4k sorry siyo 40k
dah,mkuu kama utanisaidia na hili langu,nina simu aina samsung windows phone,model SGH-i917 inawaka lakini inaishia kwenye logo tu "SAMSUNG",nipo dar...Kama una pc fanya yafuatayo .
Maandalizi
*usb cable
*cracks ya nck mtk android full no hwid
*drivers (All mtk usb drivers versions: 1:0:1
*android cdc drivers .
NOTE:HAKIKISHA UNAUJUZI WA KUFANYA INSTALLATION YA DRIVER'S ...
Kama una utaalam fanya installation baada ya hapo ndo utafute crack ya nck ukiipata fungua hiyo crack mara ya kwanza itafunguka kwa kuandika (GSM OK) PIGA KWENYE OKY BAADA YA HAPO ITALETA BOX LA NCK MTK ANDROID NO HWID AMBAYO NI CRACK UKIANGALIA KWA NDANI KUNA MAANDISHI YANATEMBEA SASA BOFYA HAPO KWA MARA MBILI ,THEN ITAFUNGUNGA MPK ITALETA MAIN "unlocking" service n.k shida yako kuunlock haya sasa kuunlock simu yako kwa kubofya unlocking then chagua cpu ya simu yako ambayo vf 301 ni 6580 baada ya kuchakua zima simu yako ,toa laini zote ,hakikisha unaizima baada ya hapo kuna sehemu imeandikwa direct unlock haya CLICK hapo !! Ukimaliza italeta maelezo mwisho kabisa italeta maneno yafuatayo PLEASE INSERT USB CABLE !! haya sasa chomeka simu yako chap kwenye computer simu itajiunlock within 5 minutes na kuwaka ,baada ya hapo test laini yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kuflash mrdah,mkuu kama utanisaidia na hili langu,nina simu aina samsung windows phone,model SGH-i917 inawaka lakini inaishia kwenye logo tu "SAMSUNG",nipo dar...
ndio nahitaji huduma hiyo mkuuHiyo ya kuflash mr
0657124173 nichek mkuundio nahitaji huduma hiyo mkuu
Kwan simu yako bado haijafanyiwa network unlock? Huwa ni shiling elfu8-10k
Daaah...Kama una pc fanya yafuatayo .