Kwanza option rahisi kabisa, kama una tablet yoyote ya android unaweza chomeka hiyo external yako na ukaiformat fully maana zile hua hazisomi hiyo encycryption, japo utapoteza ile software ya security iliyokuwemo, unaweza kuirecover lakini... kwa nyingi hua zinafanya kwa Mac, Win, sometimes hata ubuntu kama ungekua nayo ingeweza kufanya kazi, ikigoma inamaana una latest hard drives ambazo washafikiria hadi android wakabana kote, sasa kama ni hivo au kama huna option ya kua na tablet hiyo wala ubuntu ya kujaribia then sema jina la hiyo security software na uwezo wako wa computer upo katika level ipi? settings settings za hapa na pale ukielekezwa utafika?
Taja na hiyo harddisk type, kama unaweza pia kuangalia hadi kwenye firmware inakua vema zaidi maana nyingine ukichakachua firmware tu mchomoko...
za WD hua si nyepec ku-unlock jamaa hua wanaibana kwenye hardware kabisa hiyo encycription yake, jaribu software ya HDD Unlock japo itachukua muda mrefu sana kubreak encycription na hutorecover data hata moja, wanafanya hivo kwa ajili ya security mtu asijeiba data za mwingine...Inaitwa WD SMARTWARE
za WD hua si nyepec ku-unlock jamaa hua wanaibana kwenye hardware kabisa hiyo encycription yake, jaribu software ya HDD Unlock japo itachukua muda mrefu sana kubreak encycription na hutorecover data hata moja, wanafanya hivo kwa ajili ya security mtu asijeiba data za mwingine...
So hiyo naidownload?
I
Inaitwa WD SMARTWARE..
My Passport Essential ndio jina la xternal