Msaada wa Ku-unlock external drive

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,378
0
Wakuu nina external drive ambayo ina software yake ndani. Humo ndani ya hiyo software kuna security system ambayo niliitumia kuweka password. Sasa password nimesahau..kuiformat haikubali..help please.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
2,000
Hiyo ndo sahau, ile sio password tu ni encryption. Labda format inawezekana lakini details ni muhimu, hardrive gani na software gani?
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Kwanza option rahisi kabisa, kama una tablet yoyote ya android unaweza chomeka hiyo external yako na ukaiformat fully maana zile hua hazisomi hiyo encycryption, japo utapoteza ile software ya security iliyokuwemo, unaweza kuirecover lakini... kwa nyingi hua zinafanya kwa Mac, Win, sometimes hata ubuntu kama ungekua nayo ingeweza kufanya kazi, ikigoma inamaana una latest hard drives ambazo washafikiria hadi android wakabana kote, sasa kama ni hivo au kama huna option ya kua na tablet hiyo wala ubuntu ya kujaribia then sema jina la hiyo security software na uwezo wako wa computer upo katika level ipi? settings settings za hapa na pale ukielekezwa utafika?
Taja na hiyo harddisk type, kama unaweza pia kuangalia hadi kwenye firmware inakua vema zaidi maana nyingine ukichakachua firmware tu mchomoko...
 
M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,378
0
I

Inaitwa WD SMARTWARE..
My Passport Essential ndio jina la xternal
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Inaitwa WD SMARTWARE
za WD hua si nyepec ku-unlock jamaa hua wanaibana kwenye hardware kabisa hiyo encycription yake, jaribu software ya HDD Unlock japo itachukua muda mrefu sana kubreak encycription na hutorecover data hata moja, wanafanya hivo kwa ajili ya security mtu asijeiba data za mwingine...
 
M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,378
0
Hii hapa
 
Attachments

  • 1386937850856.jpg
    File size
    75.7 KB
    Views
    60

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,378
0
za WD hua si nyepec ku-unlock jamaa hua wanaibana kwenye hardware kabisa hiyo encycription yake, jaribu software ya HDD Unlock japo itachukua muda mrefu sana kubreak encycription na hutorecover data hata moja, wanafanya hivo kwa ajili ya security mtu asijeiba data za mwingine...

So hiyo naidownload?
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
Hiyo kuifungua si jambo la kitoto, nakushauri uiformart kisha ujaribu kurecover files zako kwa pandora, baadhi utazipata, nyingi znaweza kupotea.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
2,000
Install latest version ya hiyo software kwenye pc yako http://download.wdc.com/smartware/
WDSmartWare_SoftwareUpdater_for_Windows_1_2_0
_7a.zip chomeka drive, inguza password mara 5, itakuuliza kama unataka kuformat, hapo utaweza kuformat ila ndo utapoteza data zote na hakuna uwezekano wa recovery. Hiyo kitu iko built into hd yenyewe na haifutiki, ila unaweza kuizima. Nenda eebrinker.wordpress.com/2011/04/10/western-digital-smartware-how-to-make-it-go-away/ kwa maelezo zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom