Msaada wa ku turn off screan overlay

mdachi mdachi

Senior Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
118
Reaction score
138
Msaada jamani anayefahamu namna ya kuweka off screan overlay.

Kuna baadhi ya apps nikizifungua zinakataa kufunguka inanambia ni turn off overlay nimeitafuta kwenye setting hiyo overlay ili nii turn off ila nimeikosa na nimerestore zaidi ya mara mbili ila tatizo linajirudia.

Anayefahamu anisaidie tafadhali, natanguliza shukrani.

Simu ninayotumia ni Tecno w4
 

Ingia settings-system- Developer options.
Halafu search neno "Overlay " hapo kwenye Developer options, utaona settings za overlay kama hiyo screenshot. Unaweza kuiweka OFF, ingawa kwangu zote zipo OFF by default.
 

Attachments

  • Screenshot_20200902-180253.png
    150.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20200902-180327.png
    75.6 KB · Views: 12
Ingia settings-system- Developer options.
Halafu search neno "Overlay " hapo kwenye Developer options, utaona settings za overlay kama hiyo screenshot. Unaweza kuiweka OFF, ingawa kwangu zote zipo OFF by default.
Mkuu híi developer optn ukiingia setting unaipata wap? Maana kwangu sijaipata
 
Mkuu híi developer optn ukiingia setting unaipata wap? Maana kwangu sijaipata
Kama hiyo developer option haipo nenda settings-about phone-bonyeza sehemu ilioandiikwa build number mara saba then rudi nyuma utakuta tiyari developer option imekuja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…