Msaada wa ku login, kama nimesahau passwaord ya PC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ku login, kama nimesahau passwaord ya PC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bakulutu, Sep 26, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Habar JF,
  Nilikuwa naomba kw yeyote mwenye uwezo huu wa kuweza kulogin kwnye pc kama mtu amesahau password au kama pc haikutumika kw muda mrefu na mwenyewe kusahau password.
   
 2. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Unatumia operating system ipi?Xp,window7 au ...
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  window 7 kaka,...
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kama ni win7, solution rahisi kuaccess data zako hapo ni kutumia live disc ya linux 2
   
 6. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.Washa kompyuta yako
  2. Kabla kompyuta haijaonyesha screen ya login page (user name &passowrd) bonyeza CRTL + F8 kwa pamoja mara nyingi
  3.Itatokea screen inakupa options za kustart kompyuta yako, Chagua Start windows in Safe Mode. then bonyeza Enter na subiri komputa ina load files. Fahamu pia kuwa wakati wa kuwasha kompyuta kwenye Safe Mode , graphics display za komputa yako zitabadilika kidogo kwa wakati huo na hilo sio tatizo
  4. Baada ya kuload files ile screen ya Administrator na password itatokea. Bonyeza enter bila kuweka password yoyote
  kama komputa itaonyesha account ya user mwingine achana nayo wewe bonyeza tu ile ya Administrator halafu login kama Administrator
  5. Utaulizwa bado unapenda kuendelea kutumia Safe Mode, Bonyeza Yes
  6. Bonyeza Start > Run, dialogue box itatokea inayosema Run , kwenye hiyo box andika cmd halafu bonyeza enter
  hii ni command itakayokusaidia ku-change files kama administartor inaitwa command prompt
  7. command prompt itafungua window nyeusi, kwenye hiyo window andika net user username * (ambapo username ni jina lako unalotaka kutumia kwenye hiyo kompyuta) mfano net user juma * (usisahau kuweka nyota * na space ni muhimu (Angalia angalizo chini kwa watumiaji wa window 7)
  8. Kompyuta itakuambia uweke password, sasa weka password yako mpya. Funga program zote na zima na kuwasha kompyuta (restart)
  9. Kompyuta itawaka na unaweza ku login kwa kutumia password yako mpya na username yako
  10 Log in tena kawaida (bila kubonyeza Ctrl F8)

  MUHIMU: Kuhusu namba 6 hapo juu: kama unatumia window 7 ni lazima ufungue command prompt (cmd) kama Administrator la sivyo huwezi kufanya mabadiliko Kufungua cmd kama admin Fungua My Computer > C >Windows >System32 > cmd, right click cmd halafu chagua "run as administrator" hapo ndipo utaweza kuingiza command ya net user username *
   
 7. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 180
  Tatizo km hili mm nishawahi kulipata.
  Mafundi ukiwauliza, "unaweza kunitolea/kunibadilishia password" basi hujibu "kwa elfu 25"

  NA KWELI NIKATOA!!!
  KUMBE BORA KUZALIWA SIKU YA DIT (Do it yourself).

  AHSANTE SANA MKUU KWA KUTUFUMBUA MACHO.
   
 8. eliasy

  eliasy JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2012
  Messages: 450
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Je kwa wanao2mia window 8 inakuaje?
   
 9. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Duh
  Kuna watu watata aisee!
   
 10. leloch

  leloch Senior Member

  #10
  Dec 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  n noumaa..
   
 11. G

  Godyp Senior Member

  #11
  Dec 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35  duhh!! Lol!
   
 12. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hyo kwa wndw 7 haikubal labda wndw xp
   
 13. SalimMhina

  SalimMhina Member

  #13
  Dec 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah hiv v password midosho
   
Loading...