salam wakubwa,
nimekua nikihangaika kupata web.nzuri ya ku-download moviez kwenye laptop yangu bila mafanikio. U-tube wananipa vipande vya moviez. Naombeni msaada especially wa ku-download series maana kuna series naifuatilia na sitaki kuikosa jamani.
Naomba kuwasilisha