Msaada wa ku-Download Movies

Living Pablo

JF-Expert Member
May 17, 2020
3,230
10,094
Naomba mnisaidie jinsi ya kudownload movies kupitia UC Browser kama Tecno wanavyotangaza.

Ahsante
 
Nashindwa kukujibu.

Anyway ni hivi, lazima utambue movies ni bidhaa zinauzwa

So inakubidi uende kwenye maduka ununue au ununue kwenye maduka ya mtandaoni.

Kutokana na technologia kupwaya kuna namna ambayo unweza kupata movies kwenye websites za wadukuzi maarufu kama torrents sites

Huko kuna movies nyingi sana.
Mfano.

www.yts.am
www.thepiratebay.org

Kupakua movies kwenye hizo webs lazima uwena na torrent client app/ software kwenye Simu/ PC yako

Nimekupa brief.

Hayo mambo yako ya tecno sijui UC browser ni upuuzi kwangu hata sitaki kujua.
 
Install telegram app katika simu yako
Alafu nitafute huko kwa babi057
Niandikie huko chaguo la movie zako ama series nitakutumia hd quality for free
20200602_042647.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom