Msaada wa ku divert namba ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ku divert namba ya simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fundifundisho, Jul 29, 2012.

 1. F

  Fundifundisho Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kujuzwa jinsi ya ku divert no ya simu ya mpenzi wangu ili anapowasiliana na mtu nimsikilize.
  Sina nia mbaya nataka kupima uaminifu wake.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Unapo divert haina maana kua akiongea na wewe unaskia ina maana kwamba akiwa hapatikan, yupo busy, kazima simu, hamna network na vitu vinavofanania na hivo simu zake zitaingia kwako
   
 3. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  je ni kidiver siatajua kwn c kuna kamshale kanatokea kwny screen au kuna njia nyingi ya kudivert?
   
 4. M

  Maswi JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  una matatitizo makubwa wewe, akili zako haziko sawa, unaishi na mke au hawala?
   
 5. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jitahidi uwe unaangalia call log, kuna simu zinaonesha hadi namba zilizotumiwa meseji, hz za meseji ndo zinakufaa, huku unakuta sms zote kafuta lkn hp unakuta majina yt, utaanzia hapo kujumlisha kugawanya kutoa na kila kitu
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  We acha kujitafutia matatizo bure
   
Loading...