Msaada wa ku copy post za facebook

Bangsweezy

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
873
193
Naweza ku copy kitu facebook, au facebook app ambayo nitaweza ku copy post za maandishi kutoka fb
 
Kweye Facebook app hold screen io sehem unayotaka kucopy itakuletea opp ya Ku copy text
 
Naweza ku copy kitu facebook, au facebook app ambayo nitaweza ku copy post za maandishi kutoka fb
Mbona very simple mkuu au sijakuelewa?

gusa tu kwa muda maandishi ya post theb utaona panarokeza neno copy basi wewe liguse hilo neno utakuwa umeshacopy.
 
NI RAHISI TU KUCOPY MESEJI ZA MAANDISHI ILA NAKUMBUKA KUNA APP YA FB NILIKUA NAYO ILIKUA HAIKUBALI HIVYO NILII UNSTAL NA KU INSTAL UPYA NYINGINE NDIPO IKAKUBALI KUCOPY.
 
NI RAHISI TU KUCOPY MESEJI ZA MAANDISHI ILA NAKUMBUKA KUNA APP YA FB NILIKUA NAYO ILIKUA HAIKUBALI HIVYO NILII UNSTAL NA KU INSTAL UPYA NYINGINE NDIPO IKAKUBALI KUCOPY.
Mkuu fb app gani uliyokua unaitumia unaweza ku copy
 
Mbona very simple mkuu au sijakuelewa?

gusa tu kwa muda maandishi ya post theb utaona panarokeza neno copy basi wewe liguse hilo neno utakuwa umeshacopy.
Kwangu inagoma fb ya kwaida ile fb lite zote zinagoma
 
Naweza ku copy kitu facebook, au facebook app ambayo nitaweza ku copy post za maandishi kutoka fb
Kutumia app Ni kujifunga, wanataka makusudi utumie app ili wawe na rules zao.

Vizuri zaidi kuwa na laptop ama desktop then ingia Facebook kwa browser, utafanya vitu vidogo vidogo Kama kucopy text, kudownload video, picha etc kirahisi.

Ukiwa huna computer ingia Facebook na browser, unaweza tumia browser ya kawaida au hata Opera mini.
 
Back
Top Bottom