MSAADA WA KITUO CHA TUITION

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,057
Reaction score
20,963
Wana Jf habar zenu naomba msaada wa kituo cha tuition kwa maeneo ya mbuyuni-bunju hii ni kwaajili ya mdg wangu anaingia form3 mwakani,kushinda home tu naona ankuw zobaa msaada jmn!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tafuta shule karibu na eneo unaloishi nazani utapata walimu
 
Wana Jf habar zenu naomba msaada wa kituo cha tuition kwa maeneo ya mbuyuni-bunju hii ni kwaajili ya mdg wangu anaingia form3 mwakani,kushinda home tu naona ankuw zobaa msaada jmn!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa kike au wa kiume mdogo wako
 
Ni yeye anataka kwenda tuition au ni wewe unataka aende tuition?. Mkuu naomba nikushauri tu kwamba kama ni wewe ndo unataka aende tuition kwa sababu akikaa nyumabani atazubaa nachelea kusema kuwa malengo yanaweza yasitime, ila kama ni yeye anataka kwenda tuition basi msisitize akasome kweli na apende pia kujisomea akiwa peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…