desmond3076
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 278
- 182
Wapendwa wana JamiiiForums Salaam
Ninaomba msaada wa matibabu au ushauri Nini afanye, ndugu yangu huyu na mtu wa karibu, maana najua humu Kuna madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama "
"RAFIKI yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni yaan ameshatumia kila dawa lakini hapati auheni Hali inakuwa mbaya anapokuwa kwenye hedhi,anawashwa hadi huruma,na maumivu pia makali
Jamani anayefahamu solution ya hili kiukweli tunaomba ushauri, anateseka sana. Hedhi ikipita anakuwa shwari.
JAMANI YEYOTE ANEYESOMA UJUMBE HUU MSAADA KWENYE TUTA, TUMSAIDIE PLEASE WATAALAMU WA AFYA MSAADA