Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Nimeona nitoe msaada kidogo
mmeambiwa mu scan vyeti vyote na muviweke kwenye pdf file moja
Hatua za kufanya
1:SCAN VYETI VYOTE
2: open Ms Word
3:insert image ya vyeti vyako kila image iwe katika page moja
4:insert image au picture zote
5:sava document
Baada ya ku save tumia software zifuatazo
1:document to pdf converter zipo software nyingi
Njia nyingine
-download virtual printer ambazo zina print word document kwenda kwenye pdf
kisha print,katika kuchagua printer chagua virtual printer kama Adobe pdf,primo pdf