Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,012
Nina galaxy pocket original nimeitumia muda mrefu lakin ina kawaida ya kukwama kwa vipind katika upande wa kuandika msg na kupiga, kuna wakat inabid niandike msg kwa copy and paste. nimejaribu kuweka AVG na kuondoa baadhi ya program nilizo download lakin bado. Nifanye nini