Msaada wa kisheria

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,484
2,000
habari wana sheria..naomba msaada wenu juu ya jambo hili.
mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya utalii huku mikumi na katika kufanya kazi kuna staff watatu walichukua loan na kuwa quaranteed na kampuni..sasa wawili wameondoka kazini bila taarifa tangu mwezi july na hawakurudi tena. nimepigiwa simu na bank ili nikatoe maelezo. naomba ushauri wa kisheria hapa kampuni na hao staff nani mwenye jukumu la kulipa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom