Msaada wa kisheria

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
za jumatatu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuhakikisha tunajenga nchi imara

Sorry, hili jambo kisheria ipoje

"Mtu kujidhuru, ikiwa source ni wewe mwenyewe"

Mfano ivi:

Niwe na mpenzi wangu, then mpenzi wangu uyu baada ya kukaa nae kwenye mahusiano na kuona hanifai tena nikaamua kumuacha (kwa kumtamkia kabisa kuwa sitaendelea kuwa na wewe), baada ya hapo binti/kijana akaamua kujidhuru (e.g..kujiua)

Je mimi niliyemuacha ntaingia matatizoni?

Kisheria ipoje hii

Msaada tafadhali
 
Japo kuwa mimi siyo mwanasheria nalijibu swali lako kama ifuatavyo: hapo wewe huna kosa na hutaweza kushitakiwa kwa kifungu chochote cha sheria ila polisi kwa kutafuta nongwa watakuchukua wakutengenezee mazingira ya kupata hela kupitia hii issue
 
Back
Top Bottom