BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Natanguliza shukurani katika hili,nimeomba uhamisho wa mke wangu kutoka wilaya ya kilolo mkoani iringa kunifuata manispaa ya IRINGA,nikapewa ahadi ya kumuhamisha.Sasa kilicho tokea afisa elimu akishirikiana na mwalim kuu wa shule wameamua kumuhamisha pale na kumpeleka kijijini zaidi.ushauri wenu nifanyeje katika chili?