kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Hiyo madhani haikuwa premaditated yani kafumania na kutekeleza tukio hapo hapo laiti angeenda akarudi na silaha hapo basi bila shaka angepatikana na hatia ya kupanga mauaji.Mkuu unamaanisha mahakama umemkuta Hana hatia au amefutiwa Kama kesi ya akina mbowe ilivyokuwa HEbu fafanua kidgo
Mahakama imemkuta Hana hatia au jamhuri ndyo wameamua kumuachiria Hawa interest na case hebu fafanua kidgo!Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.
Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia.
Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa.
Ngumi zikaanza, tap tap, tap tap!
Mfumaniwa akapigwa moja makini sana, akadondoka chini tuup! Ili kumaliza kazi, mfumania akaongezea na tofali la kichwa paap!
Mfumaniwa akapoteza maisha palepale!
Kesi ikaenda Polisi, mahakamani. Mfumania alikaa ndani kama miaka minne hivi!
Jamhuri ilitafakari ikaona kwa kweli mfumania hakutendewa haki kabisa, hivyo ikamwachia huru!
Sasa uchungu wangu ni kwamba Jamaa alivyorudi kazini akawa amepoteza kazi!
Swali langu: kama Jamhuri ilimuonea huruma na kuona kwamba jamaa hakutendewa haki, kwa nini isiwe hivyo na kwa mwajiri pia?
Mkuu, nadhani kitu kama hicho kwamba:Mahakama imemkuta Hana hatia au jamhuri ndyo wameamua kumuachiria Hawa interest na case hebu fafanua kidgo!
Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.
Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia.
Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa.
Ngumi zikaanza, tap tap, tap tap!
Mfumaniwa akapigwa moja makini sana, akadondoka chini tuup! Ili kumaliza kazi, mfumania akaongezea na tofali la kichwa paap!
Mfumaniwa akapoteza maisha palepale!
Kesi ikaenda Polisi, mahakamani. Mfumania alikaa ndani kama miaka minne hivi!
Jamhuri ilitafakari ikaona kwa kweli mfumania hakutendewa haki kabisa, hivyo ikamwachia huru!
Sasa uchungu wangu ni kwamba Jamaa alivyorudi kazini akawa amepoteza kazi!
Swali langu: kama Jamhuri ilimuonea huruma na kuona kwamba jamaa hakutendewa haki, kwa nini isiwe hivyo na kwa mwajiri pia?
Hapo kuna vitu viwili, kuna suala la kesi ya jinai, ambayo, kwa vile aliua, ilikuwa hamna namna, lazima afikishwe mahakamani, lkn pia mahakama ikatenda haki, ndhani kwa kuzingatia kipengele Cha defence ya provocation.Mkuu, nadhani kitu kama hicho kwamba:
"Hawana interest ya kuendelea na kesi"
Kesi kama hii imenikumbusha mbali sana, natamani miaka irudi nyuma kidogoNilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.
Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia.
Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa.
Ngumi zikaanza, tap tap, tap tap!
Mfumaniwa akapigwa moja makini sana, akadondoka chini tuup! Ili kumaliza kazi, mfumania akaongezea na tofali la kichwa paap!
Mfumaniwa akapoteza maisha palepale!
Kesi ikaenda Polisi, mahakamani. Mfumania alikaa ndani kama miaka minne hivi!
Jamhuri ilitafakari ikaona kwa kweli mfumania hakutendewa haki kabisa, hivyo ikamwachia huru!
Sasa uchungu wangu ni kwamba Jamaa alivyorudi kazini akawa amepoteza kazi!
Swali langu: kama Jamhuri ilimuonea huruma na kuona kwamba jamaa hakutendewa haki, kwa nini isiwe hivyo na kwa mwajiri pia?
Uzi please madamKesi kama hii imenikumbusha mbali sana, natamani miaka irudi nyuma kidogo
😂😂 Dada una nini lakini🤣Ngumi tap tap tap jamani?
Na nimekumbuka tu hayo makozi nilisoma lakini baada ya kumaliza nikafanya mambo mengine nje ya hapo 😢😢Uzi please madam
Tap kweli?😂😂 Dada una nini lakini🤣
Hahaha we jamaa lakni?Pole kwa kubakwa. Nimesoma heading ya uzi tu.