Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,670
Dada yangu alinunua simu aina ya Samsung kwa mtu kaitumia kwa mda wa kama miezi miwili hivi then akaiuza....sasa juzi kuna watu wamempigia simu kwamba number yake ya simu ndo ilitumika kwenye hiyo simu na hiyo simu iliibiwa,hao watu wanasema wao ni polisi na wanasema haipeleke hiyo simu ili akawapeleke aliyemuhuzia...kumbuka hiyo simu hana yena na mtu aliyenunua kwake hawajahandikishiana wala kupeana risiti...je wakija kumkamta kuna kesi hapo coz hawana kidhibitisho chochote? na watamfungulia kesi gani kwa hoja gani?
hatua gani za kuchukua coz anaogopa polisi sana si unajua tena mtoto wa kike?
msaada wakuu.
hatua gani za kuchukua coz anaogopa polisi sana si unajua tena mtoto wa kike?
msaada wakuu.