Kuna issue naombeni msaada, case inapo Isha hakimu anasema rufaa ipo wazi kwa ambae hajalidhika na maamuzi, sa mfano inatokea judgment holder akakata rufaa na judgment debtor akakata rufaa at the same time and the court, inakuaje hapo?????

Cross-Appeal, niliambiwa mahakama huwa inazipitia memorandum zote 2 na kuzipitia, ikiwa sababu za rufaa zinafanana huwa wanaiunganisha inakua rufaa moja..
Kwenye criminal, kabla ya rufaa huwa inatakiwa mtu atoe taarifa ya kuwa atakata rufaa kwa hiyo ni mara chache kukuta cross-appeal huko