Beira Boy JF-Expert Member Aug 7, 2016 17,895 25,945 Jun 15, 2017 #1 Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda ya ziwa usukuman Naomba mwenye kujua sheria apate kunisaidia pakuanzia CHENGE LUGUMI
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda ya ziwa usukuman Naomba mwenye kujua sheria apate kunisaidia pakuanzia CHENGE LUGUMI
kiduni JF-Expert Member Jun 26, 2015 348 341 Jun 15, 2017 #2 Unamtaka mtemi? Kumuweza huyo inabidi uwe mtemi zaidi yake hahahah ila jamaa anatisha kweli kila scandal yumo
Unamtaka mtemi? Kumuweza huyo inabidi uwe mtemi zaidi yake hahahah ila jamaa anatisha kweli kila scandal yumo
byeyombo JF-Expert Member Sep 3, 2015 2,223 3,578 Jun 15, 2017 #3 Anzia na kujisajili shule ya vidudu iliyopo karibu nawe!!
Mtengwa II JF-Expert Member Mar 13, 2017 851 1,406 Jun 15, 2017 #4 Hii vita wanaiweza akina Mkwawa, Kinjekitile, Bushiri, Isike, Mirambo, Mangi meli, na watu wa Tarime!!
Hii vita wanaiweza akina Mkwawa, Kinjekitile, Bushiri, Isike, Mirambo, Mangi meli, na watu wa Tarime!!
Man Thom JF-Expert Member Jul 27, 2016 732 902 Jun 15, 2017 #5 Waswahili wana msemo usemao 'mjumbe hauwawi' vp kama Chenge alipewa maagizo na wenye mamlaka kutoka juu kwamba asaini hiyo mikataba..yeye atawekwa kundi gani hapo! Sheria bhana..ni mchezo mchafu!
Waswahili wana msemo usemao 'mjumbe hauwawi' vp kama Chenge alipewa maagizo na wenye mamlaka kutoka juu kwamba asaini hiyo mikataba..yeye atawekwa kundi gani hapo! Sheria bhana..ni mchezo mchafu!