Msaada wa kisheria namna ya kuwatia mbaroni Chenge na Lugumi

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda ya ziwa usukuman

Naomba mwenye kujua sheria apate kunisaidia pakuanzia

CHENGE
LUGUMI
chengebc-1.jpeg
tapatalk_1496594855967.jpeg
tapatalk_1496594855967.jpeg
 
Unamtaka mtemi? Kumuweza huyo inabidi uwe mtemi zaidi yake hahahah ila jamaa anatisha kweli kila scandal yumo
 
Hii vita wanaiweza akina Mkwawa, Kinjekitile, Bushiri, Isike, Mirambo, Mangi meli, na watu wa Tarime!!
 
Waswahili wana msemo usemao 'mjumbe hauwawi' vp kama Chenge alipewa maagizo na wenye mamlaka kutoka juu kwamba asaini hiyo mikataba..yeye atawekwa kundi gani hapo! Sheria bhana..ni mchezo mchafu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom