Msaada wa kisheria nahitaji kuishitaki VODACOM & NMB

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Jamani nilituma pesa kutoka M-PESA kwenda NMB toka tarehe 27/10/2013 mpaka sasa lakini hiyo pesa hajaonekana bank, nimejaribu kufuatilia pande zote kila moja anamtupia mwingine kete mbaya zaidi pesa zangu voda hawaki kuzirudisha wakidai tayari transaction ya kwenda bank imefanyika.....nimeenda NMB wanasema hawezi kunisaidia nirudi voda mbaya zaidi kuna mdada wa NMB kanijibu ovyo......

Naomben msaada wenu wa kisheria ili nikawashitaki VODACOM na NMB kwan hawawezi kunidhurumu kweupe hivi wakati mimi mwenye mshahara naupata kwa matusi mengi toka kwa mhindi

It's serious issue tafadhari nisaidieni
 
mpesa hapo ndo yenye makosa, piga call centre yao namba 15366, uwafokee usiongee nao kitaratibu, ndipo watakapotatua tatizo lako, kwa haraka, kiufupi ela yako haitapotea, ila ukiendelea kuwabembeleza utarudishiwa labla wiki ijayo.
 
ngoja kwanza twende taratibu kabisa hiyo pesa yako kiasi gani usije kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku
 
kilicho haki yako kina thaman na unatakiwa kutoachia eti mtu akihodhi et kwa kuwa ni kdogo pambana nao kjana
 
Mi ilishanitokea. İkaingia baada ya wiki mbili. İshanitokea mara kibao mpk nimeshawazoea sasa.
 
...njoo huku tukusaidie.. Jukwaa la Sheria (The Law
Forum)
 
mi ilishanitokea. İkaingia baada ya wiki mbili. İshanitokea mara kibao mpk nimeshawazoea sasa.
ndo maana watanzania hatuendelei....huwezi kuzoea hali ya hizi transaction za hawa jamaa. Kama wameshindwa kazi watoke tu. Mtu mwingine anaahirisha mipango yake ya maana kisa wao. Kero sana
 
Omba kuonana na meneja wa bank kwanza achana nz hao ma customa care uchwara hawajui kitu...ikishindikana andika barua kwa wote..(some thing lyk a notice of demand)tunza copy zako kwenye barua yko wape siku 9..ikishindikana nitafute 0758144803.
 
Your contract is with vodacom.
file a complaint with them. If no remedy is forthcoming, file a complaint to the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) for determination. If you are aggrieved by the TCRA decision, you can file an appeal to the Fair Competition Tribunal but you may need to enlist the TCRA Consumer Consultative Council

Angalizo: Bank of Tanzania is currently devising regulatory regime for mobile phone cash transfers. But there is no remedy from this angle up to this point

TCRA is located at Mawasiliano Towers, Sam Nujoma road whilst the Fair Competition Tribunal is housed at the 9th Floor, Ubungo Plaza, Morogoro road

hopefuly nimekusaidia!
 
Jamani nilituma pesa kutoka M-PESA kwenda NMB toka tarehe 27/10/2013 mpaka sasa lakini hiyo pesa hajaonekana bank, nimejaribu kufuatilia pande zote kila moja anamtupia mwingine kete mbaya zaidi pesa zangu voda hawaki kuzirudisha wakidai tayari transaction ya kwenda bank imefanyika.....nimeenda NMB wanasema hawezi kunisaidia nirudi voda mbaya zaidi kuna mdada wa NMB kanijibu ovyo......

Naomben msaada wenu wa kisheria ili nikawashitaki VODACOM na NMB kwan hawawezi kunidhurumu kweupe hivi wakati mimi mwenye mshahara naupata kwa matusi mengi toka kwa mhindi

It's serious issue tafadhari nisaidieni

kwa utaratibu wa hao nmb ukiona haujapewa huduma nzur au haujaridhika na aliekuhudumia mwone meneja na isiwe kwa kumwomba aliekujibu hovyo just nenda sehemu iliyoandikwa branch manager uingie umweleze,
 
Jamani nilituma pesa kutoka M-PESA kwenda NMB toka tarehe 27/10/2013 mpaka sasa lakini hiyo pesa hajaonekana bank, nimejaribu kufuatilia pande zote kila moja anamtupia mwingine kete mbaya zaidi pesa zangu voda hawaki kuzirudisha wakidai tayari transaction ya kwenda bank imefanyika.....nimeenda NMB wanasema hawezi kunisaidia nirudi voda mbaya zaidi kuna mdada wa NMB kanijibu ovyo......

Naomben msaada wenu wa kisheria ili nikawashitaki VODACOM na NMB kwan hawawezi kunidhurumu kweupe hivi wakati mimi mwenye mshahara naupata kwa matusi mengi toka kwa mhindi

It's serious issue tafadhari nisaidieni

kwa utaratibu wa hao nmb ukiona haujapewa huduma nzur au haujaridhika na aliekuhudumia mwone meneja na isiwe kwa kumwomba aliekujibu hovyo just nenda sehemu iliyoandikwa branch manager uingie umweleze,hela huwa haipotei
 
Jamani nilituma pesa kutoka M-PESA kwenda NMB toka tarehe 27/10/2013 mpaka sasa lakini hiyo pesa hajaonekana bank, nimejaribu kufuatilia pande zote kila moja anamtupia mwingine kete mbaya zaidi pesa zangu voda hawaki kuzirudisha wakidai tayari transaction ya kwenda bank imefanyika.....nimeenda NMB wanasema hawezi kunisaidia nirudi voda mbaya zaidi kuna mdada wa NMB kanijibu ovyo......

Naomben msaada wenu wa kisheria ili nikawashitaki VODACOM na NMB kwan hawawezi kunidhurumu kweupe hivi wakati mimi mwenye mshahara naupata kwa matusi mengi toka kwa mhindi

It's serious issue tafadhari nisaidieni

Pole sana kwa usumbufu mkuu,lakini hakuna kinachopotea kwenye system. Hebu nipm unipe details za hilo tatizo sasa hivi.
 
Back
Top Bottom