Msaada wa kisheria; Mwajiri hataki kumpa fedha zake, amfanyeje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,403
81,247
Kuna ndugu yangu amestaafu. Anadai fedha zake toka kwa mwajili. Almost 3 years tangu astaafu. Amemkumbushia fedha hizo mwajili ansema hanan hela. afanyeje? Nauliza hivyo kwa kuwa time limitation inaweza kuwa tatizo la kudai haki yake.
 
Back
Top Bottom