- Thread starter
- #21
mkuu kama umesoma lazima utakuwa unajuwa barua ya admission pamoja na fees structure ionyeshe. fee structure kawaida inaonyesha fees payable to university na fees payable direct to studentUnazo evidence kwamba ulilipia hivyo? Barua ya admission ilieleza gharama hizo?