Oh, pole zao wanaameru! Bila kukose huyo ni Jeremia Sumari, hata hivyo mbona ukiachilia kuugua alikuwa kilaza tu yule! Kuhusu swali hoja yako ya kisheria, katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 68, inaeleza wazi na kuweka bayana kuwa "kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki shughuli za Bunge..." pia ibara ya 67 inatoa sifa za kustahili kuchaguliwa kuwa mbunge na hivyo kwa mjibu wa ibara hii Jeremia Sumari hakupoteza sifa ya kuchaguliwa kwa kuumwa kwake, vile vile kwa kuendelea kuumwa kwake hajapoteza sifa ila tu kwa kutoapishwa kwake hawezishiriki kazi yoyote ya kibunge ni mbunge mteule na hawezi kuacha kiti chake au uteule wake kwa kuendelea kuumwa kwani ibara ya 71 inamlinda! Ndo upungufu mojawapo wa katiba yetu.Imekula kwao wanaarumeru watawakilishwa na upumbavu wao! Wabunge wengi wa magamba wanaumwa, wewe jitu kama Wassira si yuko ICU yule! yuko mbunge mmoja hapa Sumbawanga mjini bonge la kilazaa ni darasa la saba feliya, kimsingi wabunge wa magamba ni aibu tupu duniani. NAWASILISHA