Msaada wa kisheria katika Jimbo la Arumeru Mashariki

Balozi Chriss

Senior Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
154
Points
0

Balozi Chriss

Senior Member
Joined Jan 21, 2011
154 0
Naombeni wana JF mnisaidie katika jambo hili.Hivi kama jimbo limemchagua mbunge na bado hajaapishwa,sheria inasemaje katika hilo?
Hapa Arumeru Mashariki mbunge aliyechaguliwa anaumwa hata kabla ya kampeni za mwaka jana.Lakini kutokana na upumbavu wa wanaArumeru wachache wakampa ubunge eti kwa kuwa ni mzee na tene niwa CCM.
Huyu mzee naambiwa amelazwa mpaka leo na hajaapishwa.Vipi ni mbunge halali kweli?
Aliwahi kuwa naibu waziri wa Fedha 2005/10.

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Messages
1,151
Points
1,195

Dopas

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2010
1,151 1,195
Sheria za Bunge zinasemaje kuhusu hilo? Kama ni mgonjwa sio kosa lake, ni la waliompa hiyo nafasi, wasubiri tu 2015 sio mbali wamchague mwingine.

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Arumeru mashariki hawakumchagua solomon sumari, bali ccm kwa utashi na ubabe wake waliiba ushindi wa halali wa chadema. Mungu amsaidie apone ugonjwa unaomsumbua, ili aje ajitokeze hadharani kutangaza kuwa hakushinda, ila tume kwa utashi wa ccm walimtangaza mshindi. Najua atakaposema ukweli ccm watasema jamaa ameshakuwa taahira kutokana na ugonjwa unaomsumbua.

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,995
Points
1,500

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,995 1,500
Naombeni wana JF mnisaidie katika jambo hili.Hivi kama jimbo limemchagua mbunge na bado hajaapishwa,sheria inasemaje katika hilo?
Hapa Arumeru Mashariki mbunge aliyechaguliwa anaumwa hata kabla ya kampeni za mwaka jana.Lakini kutokana na upumbavu wa wanaArumeru wachache wakampa ubunge eti kwa kuwa ni mzee na tene niwa CCM.
Huyu mzee naambiwa amelazwa mpaka leo na hajaapishwa.Vipi ni mbunge halali kweli?
Aliwahi kuwa naibu waziri wa Fedha 2005/10.
Kama hajaapishwa huyo si mbunge.

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Messages
509
Points
250

Ptz

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2011
509 250
Oh, pole zao wanaameru! Bila kukose huyo ni Jeremia Sumari, hata hivyo mbona ukiachilia kuugua alikuwa kilaza tu yule! Kuhusu swali hoja yako ya kisheria, katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 68, inaeleza wazi na kuweka bayana kuwa "kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki shughuli za Bunge..." pia ibara ya 67 inatoa sifa za kustahili kuchaguliwa kuwa mbunge na hivyo kwa mjibu wa ibara hii Jeremia Sumari hakupoteza sifa ya kuchaguliwa kwa kuumwa kwake, vile vile kwa kuendelea kuumwa kwake hajapoteza sifa ila tu kwa kutoapishwa kwake hawezishiriki kazi yoyote ya kibunge ni mbunge mteule na hawezi kuacha kiti chake au uteule wake kwa kuendelea kuumwa kwani ibara ya 71 inamlinda! Ndo upungufu mojawapo wa katiba yetu.Imekula kwao wanaarumeru watawakilishwa na upumbavu wao! Wabunge wengi wa magamba wanaumwa, wewe jitu kama Wassira si yuko ICU yule! yuko mbunge mmoja hapa Sumbawanga mjini bonge la kilazaa ni darasa la saba feliya, kimsingi wabunge wa magamba ni aibu tupu duniani. NAWASILISHA

Laurence

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
3,106
Points
1,225

Laurence

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
3,106 1,225
Mpumbavu ni wewe na siyo wana Arumeru. Wao wametumia haki yao ya kikatiba ya kumchagua mtu wanayemtaka.

Bado unaendelea na tabia yako eeh! ntakuitia Mwanakili aje akushughulikie na aweka picha naona bado unaendelea na tabia yako chafu

Balozi Chriss

Senior Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
154
Points
0

Balozi Chriss

Senior Member
Joined Jan 21, 2011
154 0
Mpumbavu ni wewe na siyo wana Arumeru. Wao wametumia haki yao ya kikatiba ya kumchagua mtu wanayemtaka.

hii vita ya maneno unayoitaka itakushinda muraa.....Nimejaliwa uwezo wa kumudu majukwaa yote muraa.
Sasa kama wao co wapumbavu wewe unadhani ni nini?Maana huyu magamba alikuwa mgonjwa na hata kampeni hakuhudhuria.

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Messages
6,691
Points
2,000

Kobello

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2011
6,691 2,000
Mkuu,
Mimi ni mmeru upande wa mama yangu.Tangu enzi za Nyerere mpaka leo sijawahi kuona kitu chochote cha maana kilicholetwa na serikali. Labda siku hizi ila tangu zamani,hata hospitali za Patandi na Nkoaranga zilikuwa zinategemea sana kanisa. Serikali kwa wameru ni whatever...they don't really care about it, and since culturally they had an age-set system of organization...huwa wanawapa wazee wao ubunge outta respect and not because they expect something from them...like sarakikyas,Ole sitabaus ,sumaris...etc kwa dogo Nasari itakuwa kazi kidogo but things change and I humbly stand to be corrected.

hii vita ya maneno unayoitaka itakushinda muraa.....Nimejaliwa uwezo wa kumudu majukwaa yote muraa.
Sasa kama wao co wapumbavu wewe unadhani ni nini?Maana huyu magamba alikuwa mgonjwa na hata kampeni hakuhudhuria.

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,497
Points
1,225

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,497 1,225
Na vipi mwongozo wa bi kiroboto wakusema mmbunge asiposaini siku tatu unafukuzwa je hili rungu halimpitii huyu babu? Au kwavile magamba their above the law

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Na vipi mwongozo wa bi kiroboto wakusema mmbunge asiposaini siku tatu unafukuzwa je hili rungu halimpitii huyu babu? Au kwavile magamba their above the law
angetokea ccm bi kiroboto lazima angetumia kanuni za bunge kumwondoa kwenye list yake

Forum statistics

Threads 1,352,889
Members 518,197
Posts 33,068,400
Top