Msaada wa kisheria jamani:

T

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
114
Points
225
T

tetestaly

Senior Member
Joined Sep 10, 2015
114 225
Mm ni mfanyakazi katika tasisi moja hapa Dar es salaam nimefanya kazi katika tasis hii miaka 2 ba miezi sita, niliahidiwa kupewa mkataba ila ilichukua takribani mwaka mzima pasipo kupewa mkataba kila napodai naapiwa nitapewa nilivyoona muda unazidi kwenda basi nikaomba nipewe salary slip ila bado nilijibiwa ovyo na na wenye mamulaka, nikaenda tena kuulizia vipi pesa yangu ya NSSF napo nilijibiwa sikupewa jibu miaka miwili bila kulipwa pesa ya NSSF, baada ya mwaka mmoja nikaitwa kupewa mkataba amabo uliandika nusu ya mshahara wangu(besic salary) amabao ulionyesha masaa ya kazi ni masaa 11, nikauliza kwa nn mshara(besic salary)yangu imeandikwa nusu nakuandika ndo mshahara wangu wote kwa mwezi wakaidai eti ni kukwepa kodi ya serikali nikawaambia sasa hamuoni tunafanya kwa kuhujumu uchumi wa Tanzania maana hapo mnakwepa kodi ya serikali, baada ya kusema hivyo nikatishiwa kuachishwa kazi kwa kuwa na mimi sina chochote na familia inanitegemea nikaogopa kufukuzwa ikabidi nisaini ule mkataba feki nikiambiwa nisiwe na wasi wasi kodi ya serikali inalipwa, na nikakazwa kutoka inje na ule mkaba niliomba sana ili nije inje nitafute msaada ila walikataa na kudai nisaini niache pale pale, nikaendelea kufutilia nipewe kopi ya ule mkataba ila bado niliendelea kunyima na kuniona mimi kama adui wa tasisi walidai na hamasisha wengine. Mwanzoni mwa mwezi huu saba wameniterminate. Pasipo kupewa mshara wa mwezi wa tano, wa sita na wa saba na haki zangu zingine ninazostaili km mtumishi wao. Naombeni msaada wanasheria humu ili niweze pata haki zangu.
 
R

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,971
Points
2,000
R

rolla

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,971 2,000

Hao jamaa umewachelewesha....kesi yako ni mzito. Ripoti cma uanze kulala nao mbele. Kutokupeleka nssf Ni kosa, kutokupa mkataba Ni kosa, kukwepa kodi/misrepresentation ya mshahara kwa minajiri ya kukwepa kodi Ni kosa, kukufukusa nila kufuata taratibu za kisheria Ni kosa, na kutokupa malipo yako ni kosa. Seek a proper legal advise
 
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,680
Points
2,000
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,680 2,000
Mshahara ulikua unalipwa mkononi au kupitia bank?
 
T

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
114
Points
225
T

tetestaly

Senior Member
Joined Sep 10, 2015
114 225
Mshahara ulikua unalipwa mkononi au kupitia bank?
Kupitia bank ila bank hiyo haikuandikwa jina la taasisi baadala yake iliandikwa salary account
 
T

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
114
Points
225
T

tetestaly

Senior Member
Joined Sep 10, 2015
114 225
Hao jamaa umewachelewesha....kesi yako ni mzito. Ripoti cma uanze kulala nao mbele. Kutokupeleka nssf Ni kosa, kutokupa mkataba Ni kosa, kukwepa kodi/misrepresentation ya mshahara kwa minajiri ya kukwepa kodi Ni kosa, kukufukusa nila kufuata taratibu za kisheria Ni kosa, na kutokupa malipo yako ni kosa. Seek a proper legal advise
Cma ndo wp
 
T

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
114
Points
225
T

tetestaly

Senior Member
Joined Sep 10, 2015
114 225
tume ya usuruhishi . Nadhani hipo kila wilaya. Tafuta mwanasheria aliyekaribu yako hakueleweshe. You have a strong case ndugu
Asante sana mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,315,685
Members 505,292
Posts 31,866,785
Top