Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Maumivu unayopitia ni ya mida mfupi tu. Ni kama maumivu ya kutairiwa..kwa sisi tulio tairiwa bila ganzi tunajua mziki wake..lakini yalipita na leo tupo.

Mimi huwa naona mwanamke akikuacha unatakiwa kushukuru, tena kushukuru sana. Maana hamjafika mbali. Ukilazimisha tu kiendelea naye majuto na maumivu yake yatakuwa mara 1000 zaidi.
 
It's ok bro, kama mtu ulimpenda kwel, ni sawa kabisa bro upo sahihi

Kukosa hamu ya kula ni sawa, kukosa usingizi ni sawa na ufanisi wako wa kazi kushuka ni sawa pia baada ya kuzinguliwa na mtu uliyempenda sana

Hapo ni wewe kwanza ukubali hali halisi kwamba she is gone, then jipe muda utamsahau tu huyu malaya, huwez kumsahau Kwa usiku moja, huwez kumsahau kwa wiki moja, sio chini ya wiki tatu bro ndo utakaa sawa

Kata mawasiliano naye kwa njia yeyote ile, iwe sim , kupitia mtu au ana Kwa ana, yani usitake kujua yupo wapi, na nani, anafanya nini, yani potezea mazima, futa namba, sijui hao ndugu zake kata mazoea yani kata.

Utamsahau lakini subr muda upite ndani ya huo mda kata nae mawasiliano
 
Move on bro, najua kwa mliyoyapitia hii hali haiwezi kuondoka kwa siku moja ama kwa haraka ivyo,

Kubali matokeo though yanauma
Tuliza akili usimsumbue kumtafuta kwneye simu maana kuna siku atakujibu shits utatamani kujiua
Take time relax jichanganye na wana
Fanya mambo ambayo huwa yanakupa furaha on her absence.....

Kinachouma hapo ni mazoea na namna gani watu watakuchukulia wamezoea kukuona naye.

Me shuhuda wa hilo kuna binti tumekuwa naye for 3yrs now lakini amekuja kuchukuliwa na mwana ambaye alikuwa ni x-wake, kibaya zaidi hao wote wawili tupo nao kikundi kimoja so imagen unahitaji ku move on na unawaona kila siku wako pamoja..... time heals nimepona kwa sasa niko poa .

Usikate tamaa, dont bullshit yourself men
 
[emoji419][emoji419]
 
Pole mkuu. Kama ni kweli unampenda na bado unamuhitaji basi mtangulize mungu ili kujua tatizo lipo au limeanzia wapi. Naomba nikuulize swali kama hutojali. Je bado unamuhitaji ili Niweke ushauri murua ? Kua muwazi please
Khe
 
Baba mtoto uliona kaburi lake?
 
nilikua na mwanamke pia tulikua tuko poa chemisrtry ipo you name it basi ikaokea nikahama mkoa nikaenda mkoa mwingine akawa anakuja tunakaa basi siku moja mida kama ya saa kumi na mbili akaniambia usiku mwema nikasema mbona mapema akaniambia ndoivo mimi nikatulia

Zikapita siku 3 bila sms wala kupiga hata kubeep na whatsapp namuona yuko oneline . nikajua tayari wahuni washamharibu akili kesho yake ambayo ni siku ya nne ananiafuta ananiuliza uko poa as if hakuna kilichotokea nikamwambia kuwa na amani ishi kwa uhuru kama unaona nakuletea vikwazo basi tusijuane akakaa kimya nikakaa kimya.

Siwezi kudanganya niliumia sana ila ni nature ya mwanaume kukaza na kujiamin na kuwa na msimamo uliothabiti.

Mwanamke anafikiri kwa hisia na mihemko na yeyote atakayetaka kushindana naye katika hali hii lazima ashindwe hijalishi ni kaka, baba au hata mama yake mzazi.

Piga kifua sema mimi ni mwanaume tembea nje fanya kazi panga mambo yako usimtafute na akiutafuta mkazie mwisho wa siku ndio kukua huko na mwisho

MWANAMKE AMABAYE ANATAKIWA AKUSUMBUE AKILI NI MAMA YAKO MZAZI PEKEE
 
Max Hawa huwaga na nn sijuiπŸ™
 
Watu husema, kumiliki single mom ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro.
 
Kabisa Yan sijui ni kukosa kujitambuaa ndo kunogewa au nn sijui πŸ˜€
Afu kwa mfano on my case ni kwamba

Huyu x wake me sikuwahi jua kuwa walikuwa na mahusiano kuna siku nimekaa na huyo bwana akaanza kumkandia dem kamkandia sana tena mbele ya watu wazito tu...

As a man wala sikutaka hata yule mwanamke anote kuwa kuna kitu tumeongea na huyo mtu huezi amini nlisafiri mkoani nlivorudi nliwakuta wana urafiki wa karibu sana πŸ˜€ hatimaye wamekuwa pamoja tena.

Sema muda nimeamaua kukubali yaishe nkamuonea binti huruma coz huyo mwamba ni mume wa mtu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Katika yooote wanaume lazima tuwe na vumba la kutosha linapunguza sana stress za mapenzi na linapunguza possibility za kupigwa tukio.

Ujue ukiwa na pesa hata tukio lenyewe unapigwa kama unaombwa hivi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Utapotea bila sababu, fikilia malengo uliyojiwekea wafikilie watu wanaokutegemea katika maisha yako,kupoteza ufanisi kwa mtu km huyo, nikuwakosea watu waliokuamini kwanzia kwenye kazi unayofanya na jamii kwa ujumla

Huyo mwanamke kajua madhaifu yako kuwa wewe huwezi kumuacha,na atakutesa Sana unachotakiwa kufanya ni kumuonesha kuwa unaweza kufanya maamuzi ya kiume
 
Kilamtu naamini ameshapitia halihiyo kama wapo ambao hawajapitia wachache sana kuachana na mtu unaempenda sana Tena bilankujiandaa sio mchezo unaweza hisi masaa hayasogei lkn hakuna ataekuelewa zaidi ya wew kuueelewesha moyowako kuwa sio wako
Kilaunapokumbuka jaribu kusema hakuwa wangu mazoea ndo Huwa yanatesa sana lkn utakuwa sawa na maisha yataendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…