Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Pole na tuliza akili, fikiria magonjwa ya zinaa ya kila aina. Anawachezea kama kitenesi, huyu ukiendelea naye yatakuja kukukuta ya juzi ya kaka wa TBS na nyumba yake ya Bagamoyo.
Vitu hutokea, ili wengine tujifunze, hayo maumivu ni ya siku chache utamsahau.
 
Kwa umri wako bado unaangaishwa na mapenzi? Ulitakiwa uwe umeshapitia break up za kutosha kukufanya uwe sugu.

Anyway umri unakutupa mkono unatakiwa uwe na familia
 
Wewe mwenyewe maamuzi yako ni yapi? Fanya maamuzi yako yanayo kusukuma.
 

Duh Uko mbali na masogange
 
Haikuwa rizikyako na Wala haikupangwa awe wako

Kujiumiza kwaajili ya mtu ambae ankula anashiba na analala Kwa mwanaume mwenzio ni matumiz mabaya ya akili relax kubali tu yaishe Kula vizuri vaa vizuri fanya kazizako vizuri ukipata muda enjoy life is too short
Ukijipa thamani sikutatu zinatosha kumsahau
 
Mkuu ishi hapa Kwanza huyo mwanamke anaonekana anapenda kuchezea ya Kila mtu
 
Pole mkuu. Kama ni kweli unampenda na bado unamuhitaji basi mtangulize mungu ili kujua tatizo lipo au limeanzia wapi. Naomba nikuulize swali kama hutojali. Je bado unamuhitaji ili Niweke ushauri murua ? Kua muwazi please
 
Nimesoma huu uzi moyo ukaanza kwenda mbio utadhan mi ndiye mtendwa. Anyway, sijawahi kukutana exact situation kama hiyo, ila situation za mapenzi za kuumiza nshakutana nazo.

Like moja iliyowahi kunila sana ni manzi yangu wa muda mrefu alijazwa kibendi na mdau mwingine...ilinila si kidogo. Ila Sikuomba mtu ushauri. Maana najua katika mapenzi, hata ushauriwe vipi, mwamuzi wa mwisho ni wewe.

Ikabidi tuu nijipe muda. katikati ya maumivu hayo, nikachagua kujipa muda maana binafsi nilishindwa niamue nini. Alikuwa ni mwanamke ambae alifahamika hadi kwetu.

Yeye alikuwa tayari kuendelea na mimi maana hata aliyemjaza kibendi alimchinjia baharini. Mtihani kwangu ulikuwa ni kuamua niendelee nae tu au nipotezee...nilimpenda sana.

Hatimaye muda ukajibu. Nikajikuta nimepata ujasiri wa kumtamkia SIKUTAKI. Na hapo moyo wangu ulikuwa wazi kabisa kwamba simtaki. Alilia nakunibembeleza kwa kila meseji. Mimi muda ulishaniponya, hakufanikiwa.

Alifanikiwa kujifungua mtoto wa kike. Ilikuwa 2015 hiyo. And as i speak ni single maza.

Mimi baada ya muda mrefu nikafanikiwa kupata my match. Katoto flani kabichi kabisa, nikawanako in relation kwa miaka mingi, kakanifurahisha, nikakaoa, saii tuko na 3yrs boy na kibendi kingine🙂.

So chakukushauri hapo 'TAKE YOUR TIME'. Maamuzi sahihi yanahitaji muda sahihi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…