Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,925
- 5,669
Nakwambia tena wewe kausha huo ni mtego usije ukauvaa utakuja kuumia mara nne ya hapoKuna hii sasa, kaweka status tonight.
Sasa cjui ashachoka penzi jipya mapema hv[emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 2497654
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]Ataenda kugongwa mimba nyingine arudi anakulilia, wewe tulia zako tuli uone. Hao watu hawanaga akili kabisa
Thanks, nimechukua hiiMzee nasemaje, Emotions are part of the equation of our lives, but not the entire equation. Just because something feels good doesn’t mean it is good. Just because something feels bad doesn’t mean it is bad. Emotions are merely signposts, suggestions that our neurobiology gives us, not commandments. Therefore, we SHOULDN'T always trust our own emotions. In fact, I believe we should
make a HABIT of questioning them... DONT BE STUPID MAN, HUYO DEMU ATAKUPASUA KICHWA WNAWAKE WANAOSIKIA NA KUELEWA WAPO WENGI TU.. SIKIO LA KUFA HILO MZEE...
[emoji120][emoji120][emoji120]ila ngoja nitake pause for a while aiseehAliekudanganya mtafutie mwenzie . Yaani kusumbuka
Utake pause ya nini jamani . you are a man , you got nothing to lose . tafuta pisi iliyotulia anza kuenjoy usahau huyo dada .YOLO[emoji120][emoji120][emoji120]ila ngoja nitake pause for a while aiseeh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]Utake pause ya nini jamani . you are a man , you got nothing to lose . tafuta pisi iliyotulia anza kuenjoy usahau huyo dada .YOLO
hahhahaha tatizo kijana alianza safari bila kuwa na does tairi..gari limepata pancha sasaMapenzi yanakufanya unashindwa kula!!? Mbona mnauchosha mwili kizembe aisee
Daaaah[emoji119]Kuna baadhi ya wanawake washenzi kweli yani anajifanya anakupenda kumbe yupo na mwingine, kuna mwanamke aliwahi nisave dada emmy.
What a loss[emoji56][emoji33]hahhahaha tatizo kijana alianza safari bila kuwa na does tairi..gari limepata pancha sasa
Nimeipenda Comment yako mkuuKwanza pole, ili ukweli huu ukuingie.
.
Mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka na akakuvumilia mpaka sasa we unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla. Ulipoanza story na kusema 'kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama ndugu' nikajua tu umeachika. Sababu mwanamke yoyote hawezi kuwa na mahusiano au kudumu na mtu amchukuliaye kama rafiki, mshkaji na ndugu na akiwa basi hayatakua mahusiano matamu.
.
Okay, limeshatokea nini cha kufanya?
Cha kwanza futa namba yake, kata mawasiliano naye, USIMTAFUTE kutaka kujua chanzo cha break up au amekula nini leo, mwache hata huyo aliyenae saivi akitetereka atakutafuta tu wewe. Pata muda wa kupoza moyo. Ila jitahidi hayo maumivu yasikuendeshe au watu (hasa huyo mdada) kuona kuna kitu kinakutatiza. Usitafute demu wa kulipizia kuachwa ila tafuta mwanamke kwa lengo lako..
.
Seriously, mpotezee futa kila kitu chake, hata kama ni ngumu vipi mana tayari amekuonesha alivyo, je ungependa uende naye kwenye ndoa baada ya kukuonesha alivyo?
Mkuu nashukuru, tumeruka viunzi vingi sana ndio mana tumejifunza, I learned it the hardway man, ukiwazingatia saaaaana wanawake mkuu utapiga sana maktime kwenye maswala ya pesa na maendeleo yako binafsi, wanawake wanapoteza sana focus za vijana na mambo yao ya msingi, fanya research mkuu.Thanks, nimechukua hii