Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Shida ya single maza ni moja tu, ukimpenda mtoto wake tu basi
Dogo nilikua na love nae sana,kwanza hakuwa akikaa nae nikamhimiza amlete tuishi nae. Nikampeleka mpaka Shule lakini wapiiii.
I was taking of him km ndo ma blood son iwe kumwogesha,kumlisha,vizawadi na mahitaji yote. Akiumwa mimi nakesha nae nyieee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Duh,pole
Yako
 
Mkuu niamini mimi mbele ya Mungu achana nae huyo mwanamke alikuachia huzuni sasa nawewe mwachie huzuni ya milele usikubali kulala nacho kumbuka michezo ya kitotototo usikubali kulala nacho huyo atakutenda tena.
 
Mkuu niamini mimi mbele ya Mungu achana nae huyo mwanamke alikuachia huzuni sasa nawewe mwachie huzuni ya milele usikubali kulala nacho kumbuka michezo ya kitotototo usikubali kulala nacho huyo atakutenda tena.
Nimepata relief sana humu na experience za watu. Sahv nina amani mno.

Nawashukuruni nyote. I guessed it will take too long to heal ila nimeona tiba ya kuongea na faraja za watu.

Be blessed everyone.
 
Nimeamini kwa hizo text zake na sijajibu tangu jana ili nisimkaribishe shetani mara ya piliView attachment 2497464
waga wanajirudi hivi hivi anakuingiza tena mkenge hapa keshaliwa sasa hajawa namaamuzi ..aakuja na excuse nyingi na kutaka kukupa na uchi.....kaza uzi ajue kwamba hata bila yeye unaishi hapo ndo huwaga wanachangayikiwa
 
Hii Karne jipende mwenyewe tu ndo utaona faida ya maisha Yako. Usiwe serious mapenzi utaumia dogo. Mwache aende zake tafuta chuchu nyingine cheza nayo. Nayo ilizimgua hivyo hivyo unatafuta nyingine.

Hakuna mapenzi ya dhati Kwa Sasa. Jipende mwenyewe tu jali Afya, Fanya mazoezi enjoy your life. That's all!
 
Mzee nasemaje, Emotions are part of the equation of our lives, but not the entire equation. Just because something feels good doesn’t mean it is good. Just because something feels bad doesn’t mean it is bad. Emotions are merely signposts, suggestions that our neurobiology gives us, not commandments.

Therefore, we SHOULDN'T always trust our own emotions. In fact, I believe we should make a HABIT of questioning them... DONT BE STUPID MAN, HUYO DEMU ATAKUPASUA KICHWA WNAWAKE WANAOSIKIA NA KUELEWA WAPO WENGI TU.. SIKIO LA KUFA HILO MZEE...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…