Msaada wa Kiroho

Msaada wa Kiroho

single father

Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
76
Reaction score
117
Kwako Rakims na wajuzi wengine,

Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa.

Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa anajua ile sehem, ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo, hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga.

Huwa namkatalia ila naona inazidi, kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash.
 
Hiyo huwa inatokea nafsi inakuwa na taarifa tena mara nyingi kama si zote huwa ni kupitia ndoto kupitia ndoto, maana ndoto ni maisha halisi ya mtu wa ndani ya wakati uliopita, uliopo na ujao, sema huenda anasahau kuwa aliota au anapuuzia, ila ubongo huwa unatabia ukiona taarifa ambayo tayari umeshaiona huwa unakupa taarifa kuwa hiki kitu sio kigeni au ni kigeni
 
Tafteni hela mkale chakula kizuri muende na mbuga za wanyama mshachoka akili anakua na illusion jambo likishatendeka yeye akili inamtuma kuwa alishaliona ndo likatokea

Hizo ni njaa tu za mkeo mpe chakula ashibe alaf chakata mbususu vizur uone kama ataleta mapicha picha tena
 
Kwako Rakims na wajuzi wengine,

Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa.

Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa anajua ile sehem, ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo, hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga.

Huwa namkatalia ila naona inazidi, kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash.
Ama ni mojawapo ya Seer....watu wenye uwezo wa kua ahead of Times....

Huyu asipoharibu hiyo pattern ya power and purity of Spirit anaweza kuwa na messages zenye nguvu sana...!

Schiatic muscles kila mtu anazo lakini zikiwa trained vizuri basi message kama hizi zinaweza kuflow na akatoa tafsiri nzuri sana.

Schiatic energy can be positive or negative...!

Au
Kuna watu wanaoishi sasa lakini wamerudi baada ya kuwahi kuishi tena....Re incarnated individuals...

Hii inawezekana ikiwa mtu aliishi wakati fulani na akawa na Vision and mission but un accomplished...

Then wakati fulani in his or her living process mwili(UDONGO)ukachoka...kufa na kuacha Roho ikiwa ndani ya mpango ule ule wa mwanzo...

Spirit kama hii inaweza ku assume Mwili popote na ikaanza moja kuja kuendelea na mpango kama wa awali...

Dalai Lama aliyeko amerudi tena baada ya kuwapo miaka 150 iliyopita...

Read the Current book Materials for Dalai Lama!

The Body Enters the Spirit during Conception...and not like people think that Spirit enters the Body...

So re incarnation is real through a Serious Wish or Desire of an individual during a living term...under a limited Vision and Mission.
 
Kwenye ndoto ameshafika zamani lakini kiuhalisia hakuwahi kufika eneo husika, na anapofika eneo husika ndio kumbukumbu za eneo hilo humjia kwa usahihi kabisa, seer, ikimuelekeza vibaya ajifunze kungamua ili asiwe anakwenda, kibaya zaidi anaweza ku dream a month ago,mwaliko ukaji 2day b4functions.
 
Kwako Rakims na wajuzi wengine,

Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa.

Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa anajua ile sehem, ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo, hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga.

Huwa namkatalia ila naona inazidi, kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash.

Jaribu kuthibitisha kama ni ya kweli kwanza, pengine ni mwongo anakusumbua tu.

Mkienda mahali, mkifika tu, kabla. Ya chochote, muulize hapa umewahi kufika? Akisema ndiyo, mpe fursa aelezee yatakayoendelea ili uthibitishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom