Msaada wa kioo cha tv

Msaada wa kioo cha tv

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
Habari za jioni wadau!

Nina Tv ya Samsung,MODEL:UE46C6530UK imevunjika kioo.

Tafadhali naomba kujuzwa ni wapi naweza pata kioo kingine na gharama za kubadilisha kwa ujumla.

Thanx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom