Asante kwa ushauriukitaka kusikiliza mawazo ya kila mtu una weza ukatoka nje ya ya reli..mana kuna walio fanikiwa katika biashara hiyo na kuna walio feli ktk biashara hiyo na kila mmoja ana njia yake iliyo mfanya afike hatua hiyo.. mfanyabiashara n mtu unaye takiwa kuwa tyr kwa matokeo yote mawili.. wewe anza biashara ukishindwa au ukifanikiwa n sehemu ya kujifunza