mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
Mimi Nina uzoefu si haba kwenye mambo ya sola .Ili ujue gharama zake soma matumizi ya umeme kwenye hiyo pump uliyonayo ili tuanzie hapo.( Kila pump imeandikwa kiwango cha matumizi ya umeme inayotumia na huwa katika vipimo vya Watt(W) au horse power(HP).Wakuu naomba msaada wa kimawazo kwa wataalum wa sola na Bio gas.
Nahitaji ku pump maji ya kisima kwa kutumia moja ya power source mojawapo kati ya sola au bio gas ila hizi source ni DC ila Mimi nina water pump ya Ac.
Je ni sola ya ukubwa gani nitatumia ili niweze pump maji kwa masaa 4+ na garama yake ni kiasi fani?
Je ni bio gas ya ukubwa gani itanipa umeme wa kutumia masaa 4+ na garama zake zipoje ?
Naomba kuwasilisha
Pia,Usisahau kusema urefu/kina cha kisima chako ni mita ngapi?Wakuu naomba msaada wa kimawazo kwa wataalum wa sola na Bio gas.
Nahitaji ku pump maji ya kisima kwa kutumia moja ya power source mojawapo kati ya sola au bio gas ila hizi source ni DC ila Mimi nina water pump ya Ac.
Je ni sola ya ukubwa gani nitatumia ili niweze pump maji kwa masaa 4+ na garama yake ni kiasi fani?
Je ni bio gas ya ukubwa gani itanipa umeme wa kutumia masaa 4+ na garama zake zipoje ?
Naomba kuwasilisha
kisima kina matter vipi hapa mkuu .Pia,Usisahau kusema urefu/kina cha kisima chako ni mita ngapi?
Hio pump ni 1HPMimi Nina uzoefu si haba kwenye mambo ya sola .Ili ujue gharama zake soma matumizi ya umeme kwenye hiyo pump uliyonayo ili tuanzie hapo.( Kila pump imeandikwa kiwango cha matumizi ya umeme inayotumia na huwa katika vipimo vya Watt(W) au horse power(HP).
Kisima ni mita 23 urefu wakePia,Usisahau kusema urefu/kina cha kisima chako ni mita ngapi?
Mmh hapo kwenye garama ndo nilitaka kupata ufafanuzi ili nijiangalie kama nitaweza au nikomae na TANESCO kama garama zitakuwa overweight kwangu.kupata hiyo AC power kwa ajili ya motor yako ni swala la kununua tu Inverter hivyo hilo sio swala gumu ,swala la kitaalam hapo ni calculations za kujua una load kiasi gani ili ujue utanunua Pannel za ukubwa gani , battery za ukubwa gani , inverter ya ukubwa gani (incase kama ukiamua kutumia solar) ,but choice ya solar au biogas ni swala la kujua wewe una resource zipi inhand na una bajeti kiasi gani.
Kadri kina kinavyokuwa kirefu ndivyo nguvu kubwa hutumika kupandisha maji(ili yafike usawa wa ardhi au kwenye matanki) na hivyo kuhitaji Solar panels nyingi zitakazotoa hiyo nguvu inayotakiwa.kisima kina matter vipi hapa mkuu .
Tumia generator ya mafuta at least 2kva/au chukua 3kva kabisa.Mmh hapo kwenye garama ndo nilitaka kupata ufafanuzi ili nijiangalie kama nitaweza au nikomae na TANESCO kama garama zitakuwa overweight kwangu.
Hapo nahitaji power ya kusukuma hio mashine 1HP kwa nasaa yaeiopungua 4
1HP= 746W.Hivyo ili kupata panels za kutosha 746W. Utahitaji panel kadhaa( kutegemeana na ukubwa wa hizo panel).Mfano kama panel ni ya 100w.Basi 746/100= 7.4~ Panel 8 Panels.Au kama ukubwa wa panels zako ni 150 basi 746/150=5.Hivyo utahitaji panel 5 za 150w.kila moja.Hio pump ni 1HP
Lakini ili pump yako ifanye kazi muda wote kuanzia asubuhi mpaka jioni( zingatia muda jua linapotoka na kuzama) inabidi uchukue Mara mbili ya idadi unayopata hapo juu.Yaani kama ni za 100W.zitakuwa 12 au kama ni za 150W. zitakuwa 10.Hio pump ni 1HP
Unahitaji twice to three times total wattage kuanzisha motor ya 1HP for at least two seconds.1HP= 746W.Hivyo ili kupata panels za kutosha 746W. Utahitaji panel kadhaa( kutegemeana na ukubwa wa hizo panel).Mfano kama panel ni ya 100w.Basi 746/100= 7.4~ Panel 8 Panels.Au kama ukubwa wa panels zako ni 150 basi 746/150=5.Hivyo utahitaji panel 5 za 150w.kila moja.
Kwa sasa bei ya solar panel sokoni ni kati ya Tsh 1000 na Tsh 1500 kwa kila Watt moja.
Solar VFD inaweza kurun even from 300watts which also varies flowrate depending on solar irradiance. I have played with this systems for 5 years now. Just V/f speed control technique.Unahitaji twice to three times total wattage kuanzisha motor ya 1HP for at least two seconds.
750W hazitoshi ku-kickstart motor ya 1HP, hapo pia hujajumlisha loss kwenye wiring, motor yenyewe na inverter (like 10% - 20%) kwa hiyo at least awe na 2000W mkononi daily at any time iwepo kwenye batterry.
What about starting.Solar VFD inaweza kurun even from 300watts which also varies flowrate depending on solar irradiance. I have played with this systems for 5 years now. Just V/f speed control technique.
What about starting.
Running is not a problem, what will be the starting current and how are you going to start a 1hp motor with 300W.
Please explain to me.