Msaada wa kimawazo ndugu zangu kuhusu maisha

Msaada wa kimawazo ndugu zangu kuhusu maisha

Hasante kwa ushauri ila familia za Kiafrica huwa kubebeka ni ngumu sana sometime, nimewaanzishia biashara ila still wameiua na hakuna wafanyacho, anyway its long story ila ukweli is not easy that way.
 
Habari za majukumu ndugu zangu,

Natumai wazima wote,

Sina ndugu wa kuomba ushauri zaidi ya rafiki zangu wa JF kwani kwangu JF ni zaidi ya ndugu, rafiki, na jirani zangu.

Naombeni ushauri wenu,

Ni kwamba nimekuwa naishi home kwa takribani miaka mitano sasa huku nikiwa ndiye kila kitu hapa kwetu, yaani ninatoa mahitaji yote muhimu, huku nikiwa na wadogo zangu sita na wazazi pia, nima umri wa miaka kama 34 hivi, ila kwa sasa nilikuwa nahitaji kutoka na kuanza maisha yangu.

Nimezunguuka kwenye nyumba kadhaa za kupanga na kukuta nyumba ya kiwango nitachohitaji si chini ya laki mbili hadi tatu kwa mwezi, ambayo kwa mwaka kwa rent ya 250 ni sawa na 3,000,000, na hapo hapo itabidi niwe na saidia home kila siku kuacha kama elfu sita ivi, mshahara wangu ni laki sita kwa mwezi huku nikiwa na vijibiashara ninavyoingiza kama laki kwa mwezi, ila nikachekecha wazo hilo nikaona kama maisha yatakuwa magumu sana kwangu.

Ila hapa kwetu ninapoishi Tabata Segerea mbele ya nyumba yetu kuna kiwanja ambacho naweza jenga chumba kimoja cha kuishi na nikaungana na mke wangu huku tukijipanga kujenga nyumba yetu huko Gongo la mboto ambako nina kiwanja changu.

Ushauri ninaoomba kwenu ndugu zangu ni kuwa je;

1. Nihame na kutafuta sehemu nipange na kuishi na mke wangu.
2. Nijenge hata chumba kimoja niishi hapa hapa home Tabata huku. nikiwa najipanga kujenga kwangu.
3. Niishi tu nyumba moja na wazazi huku nikiwa najenga kwangu yaani. pesa yote niitumie kwenye kujenga kwangu.

PLEASE NAOMBA USHAURI WENU rafiki zangu.
Jenga Chumba kimoja uishi kijana ,,,,Million Tatu kumpa baba waunyumba nikukosa akili za maisha ....wala usifanye ilo kosa ,,..jenga chumba kikubwa chakukutosha then kaaa hapo hapo ..

Kukaa ndan mawazi sio inshu ,,wat if mkiwa mnazozana mahamtaki MTU ajue ???

Kupanga achaaa achaa kabisaaaa yaaan nakushauri achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
duuuu brov wanikumbusha hiii. thank u
 
Back
Top Bottom