Jamani Kuna mtu kanitumia Pm ya aina yake kiasi kwamba nahisi ni wezi wa kwenye mtandao sasa ninawasiwasikama na huku jamii forum wezi hawa wanaweza kuwepo??
Kanambia anashida na mimi sasa nikienda katika pM sioni sms yake so imekaa kiaina fulani ,ila ukibonyeza mail yake inakuletea uwanja wa outlook kumwandikia ujumbe