Msaada wa kilimo Rufiji

Msaada wa kilimo Rufiji

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
1,587
Reaction score
918
Habari za kushinda na kushindwa wanajamvi, Waungwana mi kijana nifanyakazi kwenye likampuni mmoja kubwa sana hapa but kiukweli sioni maisha yangu yakibadilika japo nina miaka 9 kazini yes nina kaelimu kadogo cheti tu level 5NTA.kufanya kwangu kazi huku kumeniwezesha kununua mashamba matatu na viwanja viwili.hivi karibu nataka kuanza kilimo kwenye mikoa 3, Moro, Pwani,Dar es salaam. Nimefika bonde la mto rufiji nimevutiwa kuanza kilimo huko natamani kulima Nyanya, matikiti, vitunguu na mboga mboja hapo rufiji bondeni naombeni ushauli wangwana kuhuusu eneo la rufiji nataka nianze na huko. Kwa manufaa ya wanajamii wote ningeba ushauri huu ufanyike hapa hapa jukwaani. Natanguliza shukrani kwanza. Mtanisamehe kama nitawakwaza spelling errors. Karibuni
 
Back
Top Bottom