Chagaboy93
Member
- Jan 21, 2017
- 14
- 8
Wakuu habarini.
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.
Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT Scan nimefanya Muhimbili mwezi ulopita, Nilishafanya vipimo vya moyo, Damu nimepima lakini mpaka sasa sijajua tatizo ni nini. Nimekuwa nikienda hospital wananiandikia tu dawa Omaprazole na Ant acid nyinginezo lakin bado shida yangu haishii!!Ninaishi kwa hofu kubwa mno
Pia, soma: Ushauri kuhusu afya: Maumivu ya kifua yananisumbua (2)