Msaada wa key ya windows 7 ultimate sp 1

Msaada wa key ya windows 7 ultimate sp 1

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
1,147
Reaction score
513
Ngugu,
poleni na majukumu yenu yanayowakabili kila siku. Naomba msaada wa cd key au any genuine key ya windows 7.
Napata taabu sana kila siku natumia windows 7 loader na Remove WAT lakini kila niwapo internet wana update system yangu na sipendi kuweka off Automatic updates for security and performance.

Please mwenye key au best crack anisaidie.......! THANKS 4 CONSIDERING!
 
mbona windows loader ndo the best since inatumia OEM keys na unatakiwa uweze ku update bila shida yeyote. unatumia version ipi mkuu since mi pa naitumia na my desktop (7 ultimate sp1) ipo up-to-date mpaka dakika hii na sijawahi sumbuliwa ni bill gates (au croonies wake, lol)

kujipachikia key ni sawa na kufanya kazi ya windows loader ila tu kwamba loader huwa inafunga key kwenye windows OEM partition.
msaada wangu ndo hivi

Uninstall any other activator program you've tried
Download and run WAT Fix
Install the loader and restart the PC
Visit the following website to revalidate Windows:http://www.microsoft.com/genuine/downloads/FailureScenarios.aspx (use internet explorer)
feedback ukishajaribu,
leh.xx
 
Back
Top Bottom