Msaada wa kazi viwanda vya Morogoro au Pwani

Jun 5, 2022
78
115
Naombeni msaada tafadhali kwa mtu yeyote ambaye anafahamu viwanda vinavyo patikana Moro au Pwani.

Pia naomba ikiwezekana mnisaidie na hatua za kufuata ili niweze kupata kazi .
Elimu yangu ni form 6.

Msaada wenu ndio kufanikiwa kwangu asanteni Sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom