msaada wa kazi ndugu zangu wa pendwa.

msaada wa kazi ndugu zangu wa pendwa.

nikundiweshamiri

New Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Ndugu zangu nimemaliza chuo mwaka jana na nimeomba kazi sehemu nyingi sema ninarushwa kalenda ukitazamia mi ndo nguzo ya familia yangu wananiangalia wadogo pia hata waweze soma wa kubwa zangu naombeni msikie kilio changu.


Nimemaliza Elimu yangu ya Diploma in Accountancy Tanzania Institute of Accountant na patikana Dar-es-salaam. Asanteni.
 
Back
Top Bottom